Monday, November 4, 2013

HAFLA YA KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1435 HIJRIYYAH

KHERI NA BARAKA ZA 1435 HIJRIYYAH KUTOKA KWA ALLAH  ZIWE JUU YENU:
Jumuiya ya ISTIQAAMA ya tanzania, tawi la Dar-es-Salaam, ina furaha kubwa kuwaalika nyote (wanaume na wanawake) katika HAFLA kubwa, fupi na ya aina yake, ya kuupokea mwaka mpya wa kiislamu 1435 Hijriyaah, siku ya Jumapili tarehe 10 Novemba,  2013 katika ukumbi wa Karimjee, kuanzia saa 3 kamili asubuhi mpaka saa 6 kamili mchana.. MGENI RASMI Inshaa ALLAAH atakuwa Mheshimiwa Dk. Mohammed Gharib Bilal
(Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) nyote mnakaribishwa


No comments:

Post a Comment